PAPARAZI

PAPARAZI Blog Blogspot. this website is for giving you a latest news.....

Read Paparaziblog.blogspot.com news digest here: view the latest PAPARAZI Blog Blogspot articles and content updates right away or get to their most visited pages. Paparaziblog.blogspot.com is not yet rated by Alexa and its traffic estimate is unavailable. It seems that PAPARAZI Blog Blogspot content is notably popular in USA. We haven’t detected security issues or inappropriate content on Paparaziblog.blogspot.com and thus you can safely use it. Paparaziblog.blogspot.com is hosted with Google LLC (United States) and its basic language is Swahili.

  • Content verdict: Safe
  • Website availability: Live
  • Swahili language flagLanguage: Swahili
  • Last check:
  • N/A

    Visitors daily
  • N/A

    Pageviews daily
  • N/A

    Google PR
  • N/A

    Alexa rank

Paparaziblog.blogspot.com news digest

  • 6 years

    VIDEO: Baba wa Akwilina atamani kukutana na muuaji wa mwanaye amng'ate hata meno...

    Akwilini Shirima ambaye ni baba mzazi wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyepigwa risasi na polisi Februari 16, 2018 amesema siku akikutana na askari aliyemuua mwanaye atapambana naye.
    Akizungumza leo Februari 19, 2018 nyumbani kwake Kijiji cha Olele, Shirima alisema endapo muuaji atakuwa ni kijana mwenye nguvu kumzidi, atapambana naye hata kwa kumuuma kwa meno....

  • 6 years

    Baraza la Watu Wanaoishi na UKIMWI Lataka Itungwe Sheria Bungeni Kuwalazimisha W...

    Baraza la watu watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, Katika halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe wameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kutunga Sheria itakayopelekea watu kupima Ukimwi kwa lazima.
    Hayo yamesemwa na watu wanaoishi na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi Konga ya Mbozi wakati walipotembelewa na Kamati ya Bunge ya Ukimwi ambayo ipo ziarani mkoani humo....

  • 6 years

    SERIKALI YA TANZANIA YAIPIGA MARUFUKU KENYA KUINGIZA MAKONTENA ZANZIBAR KUTOKEA ...

    Serikali ya Tanzania imezuia usafirishaji wa Makontena kwenda Zanzibar kupitia Bandari ya Mombasa Kenya.
    Julius Musyoki (Kamishna wa forodha na uthibiti mipakani wa Kenya) amesema kuwa TRA wamewaandikia Kenya, wamesema katika uongezekaji wa kuingizwa kwa bidhaa kimagendo Tanzania, chanzo chake kimeonekana ni Makontena yanayoingia kupitia bandari ya Mombasa...

  • 7 years

    news alert: askari polisi watatu wauwawa, silaha yaporwa na majambazi tawi la CR...

    Habari zilizotufikia zinasema askari polisi watatu wameuwawa katika uvamizi wa majambazi katika Benki ya CRDB tawi la Mbande jijini Dar es salam mnamo saa moja na nusu jioni ya leo Jumanne Agosti 23, 2016.
    Askari waliouwawa inasemekana ni E5761 CPL YAHAYA, F4660 CPL HATIBU NA G9544 PC TTITO....

Domain history

Web host: Google LLC
Registrar: MarkMonitor Inc.
Registrant: Google LLC
Updated: June 29, 2023
Expires: July 31, 2024
Created: July 31, 2000

Whois record

Safety scores

Trustworthiness

N/A

Child safety

N/A