AFRICAN NEWS

AFRICAN Ewz1984 Blogspot. YOUR DESCRIPTION HERE.

Read Africanewz1984.blogspot.com news digest here: view the latest AFRICAN Ewz1984 Blogspot articles and content updates right away or get to their most visited pages. Africanewz1984.blogspot.com is not yet rated by Alexa and its traffic estimate is unavailable. It seems that AFRICAN Ewz1984 Blogspot content is notably popular in USA. We haven’t detected security issues or inappropriate content on Africanewz1984.blogspot.com and thus you can safely use it. Africanewz1984.blogspot.com is hosted with Google LLC (United States) and its basic language is English.

  • Content verdict: Safe
  • Website availability: Stale
  • English language flagLanguage: English
  • Last check:
  • N/A

    Visitors daily
  • N/A

    Pageviews daily
  • N/A

    Google PR
  • N/A

    Alexa rank

Africanewz1984.blogspot.com news digest

  • 7 years

    Video : Kwa Uzuri Huu wa Demu Mpya wa Diamond Platnumz, Zari Atasubiri Sana

    Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. Kwa taarifa zakuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond zinaonyesha ni kweli Diamond anatoka na msichana huyo...

  • 7 years

    Wolper adai amefilisiwa na Mkongo , amejikuta hana gari wala sehemu ya kulala

    Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na kueleza madai ya kufilisiwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani.
    Akiongea katika promo ya kipindi kipya cha Take One ambacho kinatarajiwa kuruka Jumanne hii, Wolper amedai yeye ndiye aliyetendwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake, kwani wakati anaanza naye mahusiano alikuwa ana gari na nyumba lakini baadae akijikuta...

  • 7 years

    Utapenda alichojibu Wema kuhusiana na katuni hii aliyochorwa na mastaa wengine w...

    Hivi karibuni gazeti moja la udaku liliwachora mastaa wa kike wenye uhusiano na mastaa wa Bongo wanaowazidi umri. Mastaa hao ni pamoja na Jacqueline Wolper aliyechorwa akimnywesha uji mpenzi wa Harmonize anayeonekana akiwa amebeba mdoli.
    Wengine ni Wema Sepetu akiwa amempakata Idris Sultan, Zari the Bosslady akimweka Diamond kwenye kitolori cha kuwafundishia watoto kucheza na Aunty Ezekiel akiwa amembeba mgongoni mpenzi wake Mose Iyobo....

  • 7 years

    DAKTARI BINGWA WA MARADHI YA MOYO: ASEMA DIAMOND PLATNUMZ ANAMUUA BABA'KE KIMYA ...

    Baba Mzazi wa Diamond Platnumz
    “Msongo wa mawazo ni tatizo kubwa duniani linalotokana na kusheheni kwa mawazo ya kila wakati, husasan kuhusu maisha au afya. Kwa hiyo anachofanya Diamond kwa baba yake ni sawa na kumuua kwa sababu ya kumsababishia msongo,” ndivyo alivyosema daktari...

Domain history

Web host: Google LLC
Registrar: MarkMonitor Inc.
Registrant: Google LLC
Updated: June 29, 2023
Expires: July 31, 2024
Created: July 31, 2000

Whois record

Safety scores

Trustworthiness

N/A

Child safety

N/A